Picha za Masista wa Mt.Gemma Galgani waliopata Nadhiri za Daima

Shirika la Masista wa Mt. Gemma Galgani wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wakiwapa masista watatu nadhiri za Daima ambao ni Sr. Maria Stepheno CSG,Sr. Ecklia James CSG na Sr. Fortunata Pachal CSG,ambao walipewa na Mhashamu  Askofu Beatus Kinyaiya Ofmcap.Tukio hili lilifanyika tarehe 16-05-2019 kayoka kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba.