Padri wa kwanza tangu Dunia kuumbwa

Tarehe 11-7-2019  ,Mhashamu Askofu Beatus Kinyaiya Ofmcap alitoa daraja takatifu katika Parokia ya Mt. Yosefu Mfanyakazi ya Hombolo ambalo tukio hili halijawai kutokea katika maeneo ya Hombolo tangu dunia kuumbwa.Aliyepewa daraja takatifu la upadri ni Padri Donatius Chilongani,zoezi hili lilihudhurio na mapadri,walei,watawa na viongozi wa madhehebu mengine na watu mbalimbali. Zoezi hili liliongozwa vizuri na Paroko wa Hombolo ambaye ni Padri Michael Gaula.