Picha ya upadrisho wa Mapadre wa Jimbo Kuu la Dodoma

Mhashamu Askofu Beatus Kinyaiya Ofmcap aliwapa upadrisho mapadri watatu.Hiyo hapo juu ni moja ya picha ya moja waliopiga.Tukio hili lilifanyika tarehe 3-7-2019 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba.Mapadri,watawa na watu mbalimbali walishiriki katika sherehe hii kubwa