Picha ya Nadhiri za Daima ya Masista wa Mt. Gemma Galgani wa Jimbo Kuu la Dodoma

Shirika la Masista wa Mt. Gemma Galgani wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma wakiwapa masista watatu nadhiri za Daima ambao ni Sr. Maria Stepheno CSG,Sr. Ecklia James CSG na Sr. Fortunata Pachal CSG,ambao walipewa na Mhashamu  Askofu Beatus Kinyaiya Ofmcap.Tukio hili lilifanyika tarehe 16-05-2019.