Baba Askofu Mkuu aongoza misa ya kusimikwa Askofu Mteule Wolfgang John Pisa

Leo hii,Baba Akofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma,Beatus Kinyaiya ameongoza misa ya kusimikwa Askofu mteule Wolfang John Pisa wa Jimbo Katoliki la Lindi katika vya Ilulu-Lindi.Misa hiyo iliudhuriwa na Maaskofu,Mapadre,Waamini,Viongozi wa Serikali na watu mbalimbali.Picha Hapo juu ni Baba Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya akimvisha kofia Askofu Mteule Wolfgang John Pisa