BABA ASKOFU MKUU ATIMIZA MIAKA 33 YA UPADRI
Leo tarehe 25 mwezi wa 6 mwaka 2022,Baba Askofu Mkuu,Beatus Kinyaiya ametimiza miaka 33 ya Upadri.Mungu azidi kumtumza katika utume wake.