JUBILEI YA MIAKA 25 YA UPADRI

Leo Katika Jimbo Kuu Katoliki Dodoma,Parokia ya Bahi,Baba Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya ameongoza Jubilei ya Miaka 25 ya Mapadri wawili ambao ni Padri Sebastiani Mwaja na Padri Patric Bella,na mtawa Brother Dominick wa Shirika la FIAT.Tukio hili limeudhuriwa na mapadri,watawa,walei na viongozi wa serikali.

Picha hapo juu, Kushoto ni Padri Filo,katikati ni Padri Sebastiani Mwaja na kulia ni Padri Patric Bella,Wote wanasherekea Jubilei ya miaka 25 ya Upadri